LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah!
Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea.
Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara moja moja.
Basi hapo unakuwa ushajua pakuelekea.