tuliochunga tulifanya sana kitendo hicho na tulipatia uelekeo mifugo ilipo. Kwa sasa njiuliza ilikuwaje tunapoteza mifugo na kuhangaika kuitafuta iliko, ilikuwa inatupoteaje? Mara unaikuta iko nyuma au upande usiodhani kuwepo. Kuna wakati inapotea siku nzima na kupatikana kesho yake ikiwa salama na bila kupungua wala kuliwa na wanyama wakali huko machungani ilikopoteleaSasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah!
Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea.
Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara moja moja.
Basi hapo unakuwa ushajua pakuelekea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nimepotea pale kariokoo, kidogo niteme mate kiganjani ili kujua duka ninaloenda liko wapi! Nakuja kukumbuka niko mjini nikawa mpole.
Hii ilitusaidia sana kule kijijini wakati wa utoto hata ukubwani mwetu.
Na hii pia uje na stori yake 🙄4.kuwa na mbuzi au kondoo special kwa kudinya(huna mpango na demu)
hahaaa,aya mkuuNa hii pia uje na stori yake 🙄