MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Na unaakili timamu kabisaa "nchi inaingia kwenye machafukoNyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo nusu ya watu wake umewaziba mdomo, Sasa tuone hiyo amani iliyokuwa ikiwapumbaza ikiondoka kama mtaendelea kuwa wajinga.
HahahaaNyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo nusu ya watu wake umewaziba mdomo, Sasa tuone hiyo amani iliyokuwa ikiwapumbaza ikiondoka kama mtaendelea kuwa wajinga.
Hapo kutakuwa hakuna kuchagua......pipo zitapigwa balaaWatakaoandama wanadai wakifurumushwa wanakimbilia kujificha kwenye vituo vya kupigia kura ili wasambaratishwe wote
Hawapigi KuraWazazi wangu wanasema kuanzia leo hawatoki ndani hawataki shida kabisa na ni cCm kindakindaki wanatia hurumaa
Kwa hiyo sasa inabidi tutamke wazi, anayekwenda kituoni kupiga kura ya uchafu ni adui wa taifa hili; na kwa kuwa ni adui ni lazima ashughulikiwe ipasavyo.Nyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo nusu ya watu wake umewaziba mdomo, Sasa tuone hiyo amani iliyokuwa ikiwapumbaza ikiondoka kama mtaendelea kuwa wajinga.
Wakijisahaulisha na kufuata amri za Balozi wenu, utasamehewa pia ukiwazaba vibayo kidogo kuwarudisha kwenye akili timamu! EEEeeeenHEEEEeeeeh!Wazazi wangu wanasema kuanzia leo hawatoki ndani hawataki shida kabisa na ni cCm kindakindaki wanatia hurumaa
Wameogopa hivo vifaruHawapigi Kura
Kwamba?Hahahahahaha nimecheka.sana
Afu kweli umenena
Umenena vema kabisaaaaa!Nyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo nusu ya watu wake umewaziba mdomo, Sasa tuone hiyo amani iliyokuwa ikiwapumbaza ikiondoka kama mtaendelea kuwa wajinga.
Waambie unawapenda na Mungu anawapenda pia!Wazazi wangu wanasema kuanzia leo hawatoki ndani hawataki shida kabisa na ni cCm kindakindaki wanatia hurumaa
Kuna G Wagon bado mpya sehemu nataka zikazichukue kwa nguvuNyie mnaotiki Mmeona Magari ya Polisi leo? Yatakuja kutawanya watu vituoni, kwa kuwa Tunaondamana na nyie mnaopiga kura hatuna alama usoni wote tutapigwa tutaumia, tutapigana wenyewe kwa wenyewe, Polisi wakiingilia tuna wachangia, nchi inaingia kwenye machafuko.
Huwezi ukatawala nchi amabayo nusu ya watu wake umewaziba mdomo, Sasa tuone hiyo amani iliyokuwa ikiwapumbaza ikiondoka kama mtaendelea kuwa wajinga.