mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Alinacha.Msimu ujao wakati Yanga ina angalia wachezaji wawili watatu wa kujazia kwenye kikosi chao, mtaa wa pili watakuwa busy kukamatana uchawi, baada ya kuvurunda msimu huu ligi ya ndani.
Hivyo kufanya vizuri kimataifa msimu ujao, ni jambo lisilo kwepeka mama kubwa. Uwe na imani na vijana wako, lakini pia benchi lote la ufundi, chini ya uongozi mahili wa Profesa Nabi na Msaidizi wake Kaze.