Tuliwaambia yanasukwa mkabeza. Haya gati maalum linaandaliwa kwa ajili ya Ethiopia pale kwenye bandari ya Lamu

Tuliwaambia yanasukwa mkabeza. Haya gati maalum linaandaliwa kwa ajili ya Ethiopia pale kwenye bandari ya Lamu

Naam, mambo ndio yanazidi kunoga. Alafu naona 'defence pact' ya kijeshi kati ya Kenya na Ethiopia bado inaheshimiwa. 'Longest mutual defence pact between two African countries', kumaanisha Ethiopia ikivamiwa Kenya italazimika kujiunga na Ethiopia kivita na hivyo hivyo kwa Kenya. Jomo Kenyatta na Haile Selassie waliwaza jambo la busara sana enzi hizo walipotia saini mkataba huo mwaka wa 1964, umoja ni nguvu.
Hiyo pact sijui kama itakuja kutumika! Siku hizi vita ya nchi kwa nchi ni zilipendwa. Siku hizi vikundi vinavyopigania itikadi yao ndiyo vinasumbua. Mfano IS, Al shabaab, Mungiki, Boko haram, Hezbollah e.t.c. Ingependeza Ethiopia ingekua ikisikia wakenya wamechinjwa na Al shabaab waje kuwapa support.
 
Tz inawaunga mkono Egypt

Hebu niambie faida tatu za huo mkataba wa kiulinzi kati ya Kenya na Ethiopia
Mkataba wa kiulinzi kati ya Kenya na Ethiopia umekuwepo tangu 1964 na hakuna serikali yeyote ya Kenya au Ethiopia ambayo imewaza hata siku moja kuitupilia mbali miaka yote hiyo.
Alafu kwenye mgogoro kati ya Misri na Ethiopia kuhusu mto Nile mbona nchi zote za maziwa makuu zipo pamoja na Ethiopia? Hata Tz pia inaunga mkono nchi ya Ethiopia kwenye suala hilo.
 
I didn't come here because of you. I just came here and found you, you idiot.
Hahah. He doesn’t comprehend the big difference. Geezer was banished from skyscrapercity and the virtually every African contributor agreed it was for the best. 😂
 
Hahah. He doesn’t comprehend the big difference. Geezer was banished from skyscrapercity and the virtually every African contributor agreed it was for the best. 😂
His jealousy and anger got him kicked out of SSC. He tried coming with other profiles such as Kibera and some others whose name I forget and was also banned. 😅 😅 😅 Poor Geezer.

Geza Ulole
 
Tutazindua Bagamoyo Port,The largest in the world...Tuta
 
His jealousy and anger got him kicked out of SSC. He tried coming with other profiles such as Kibera and some others whose name I forget and was also banned. 😅 😅 😅 Poor Geezer.

Geza Ulole
It's actually Kenyans like u that colluded to make me be banned! And yet joined here to read my posts how stupid do u sound! U have SSC n what r u doing here?
 
His jealousy and anger got him kicked out of SSC. He tried coming with other profiles such as Kibera and some others whose name I forget and was also banned. 😅 😅 😅 Poor Geezer.

Geza Ulole
Jealous of s1 that go to toilet on mercy of Tanzanians that feed them? Excuse me!
 
It's actually Kenyans like u that colluded to make me be banned! And yet joined here to read my posts how stupid do u sound! U have SSC n what r u doing here?
😅 😅 😅

Nah buddy, Bantugbro was a mod there, I wasn't. Maybe he colluded..........and we are definitely not here to read your posts. Take a chill pill. 😂😂
 
Jealous of s1 that go to toilet on mercy of Tanzanians that feed them? Excuse me!
At the mercy? 😅 😅 😅

Don't make me laugh. You live at our mercy. Your country will be doomed if we don't buy your maize. You always come begging whenever we turn to Mexico. 😂😂
 
At the mercy? 😅 😅 😅

Don't make me laugh. You live at our mercy. Your country will be doomed if we don't buy your maize. You always come begging whenever we turn to Mexico. 😂😂
Who told u? Unless u prove to us only Kenya eats maize!
 
Back
Top Bottom