Tuliwaonya kuwa Gwajima ni chawa mkatupuuzia

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1766511306171.png

Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
 
Ulitaka awe ndezi akamatwe kama polepole?. The guy anacheza karata zake kwa akili.

Tangu enzi za Kikwete . Ni master kweli kweli. Ukiwa na akili ndogo huwez muelewa.

Najua ww una chuki binafsi nae.
Kila mwez lazima umfungulie uzi.
Alikufanyaje?
 
Nilikuwa na kuheshimu sana ila umekosa heshima.

Gwajima ana wafuwasi ambao sio wa akili zako,ni wa imani ambao wengine wapo serikalini.

Sawa na leo unavyoona bokoharumu,ali shababu wana wafuwasi wa imani wanaweza kuvuka mipaka kutetea imani sababu ya mtu wao.

Imani imewaogopesha kumfanya gwajima.

Siku wajichanganye na hii D25 ndio mtajua mchimbi ni kichimbi kama mlivyo jionesha kuwa mtaka kata vichwa
 
Mkuu mbona unakata kataa mapema?
View attachment 3519640
Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu bali jambazi la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
 
Ni kweli. Jambo usilolijua ni usiku wa kiza. Hujui kuwa sheitwan nao wana wafuasi wengi? Kuwa na wafuasi siyo kigezo cha kuhalalisha utapeli. Hata Idi Amin Dada na Idi Amin Mama wanao wafuasi.
 
Ushasikia walokole wanajiripua misikitini,au kuteka kijiji kuwa kina waislamu kuondoka nao.

Imani umeshindwa kutumia japo leo nimeona FVG yako kwenye maongezi hapa.
 
Nilikuwa na kuheshimu sana ila umekosa heshima.

Gwajima ana wafuwasi ambao sio wa akili zako,ni wa imani ambao wengine wapo serikalini.

Sawa na leo unavyoona bokoharumu,ali shababu wana wafuwasi wa imani wanaweza kuvuka mipaka kutetea imani sababu ya mtu wao.

Imani imewaogopesha kumfanya gwajima.

Siku wajichanganye na hii D25 ndio mtajua mchimbi ni kichimbi kama mlivyo jionesha kuwa mtaka kata vichwa

Kila mara anafungua uzi kumtaget Gwajima. Na hoja zake dhaifu.
 
View attachment 3519640
Leo, tapeli gwajima anatesa. Wapo walioahadaika wakadhani anaichukia serikali wakati ni chawa wake. Ukiangalia anavyopayuka na kuendelea kuwa huru ukamlinganisha na Polepole, unapata jibu. Gwajima si chawa wala tapeli tu bali jambazi la kiimani na kiasiasa. Tumtahahadharini jamani.
"Kimsingi, Gwajima aambiwe ukweli mchungu kuwa hana hoja wala lake tena kwenye CCM. Wamemstukia na soon watamuadhibu na kumkomesha. Walianza na kufunga maduka yake ya roho ayaitayo makanisa. Mwisho, watamfunga yeye iwe ni kwa kumfukuza CCM au kuhakikisha hafanyi utapeli wake tena."

Haya juu ni maneno yako.

Ni dhahiri una chuki Binafsi .baada ya kuona makanisa yamefunguliwa ndio ukapata hasisa zaid.

Wacha Gwajima afanye kaz yake ya kumtumikia Mungu. Na kukemea uonevu.

Machawa mlitegemea na yeye atapotezwa kama Polepole. Sasa amerud na maisha yake kama kawaida . Eti kinawauma.
 
Ulitaka awe ndezi akamatwe kama polepole?. The guy anacheza karata zake kwa akili.

Tangu enzi za Kikwete . Ni master kweli kweli. Ukiwa na akili ndogo huwez muelewa.

Najua ww una chuki binafsi nae.
Kila mwez lazima umfungulie uzi.
Alikufanyaje?
Mfumo huo.
 
"Kimsingi, Gwajima aambiwe ukweli mchungu kuwa hana hoja wala lake tena kwenye CCM. Wamemstukia na soon watamuadhibu na kumkomesha. Walianza na kufunga maduka yake ya roho ayaitayo makanisa. Mwisho, watamfunga yeye iwe ni kwa kumfukuza CCM au kuhakikisha hafanyi utapeli wake tena."

Haya juu ni maneno yako.

Ni dhahiri una chuki Binafsi .baada ya kuona makanisa yamefunguliwa ndio ukapata hasisa zaid.

Wacha Gwajima afanye kaz yake ya kumtumikia Mungu. Na kukemea uonevu.

Machawa mlitegemea na yeye atapotezwa kama Polepole. Sasa amerud na maisha yake kama kawaida . Eti kinawauma.
Wewe una akili na busara sana tena ni msemakweli. Ni wachache wanaoona unayoona wewe. Ni wachache wanaojua unayojua wewe. Kongole mwanangu. Nimependezwa nawe.
 
Back
Top Bottom