#COVID19 Tuliyochanjwa chanjo ya UVIKO-19 na kuona athari zake tukutane hapa

#COVID19 Tuliyochanjwa chanjo ya UVIKO-19 na kuona athari zake tukutane hapa

wababayangu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
814
Reaction score
1,107
Mwezi wa 9/2021 mimi nilichanjwa chanjo ya Uviko19 aina ya J&J. Baada ya kuchanjwa binafsi sijapata usumbufu wowote

Lakini kuanzia mwanzoni mwa mwezi wa 12/2021 nilianza kuona mabadiliko makuu matatu katika kufanya tendo la ndoa ÷

1. Mpigo wa kwanza nimekuwa nikishusha ndani ya dakika zisizozidi 5 lakini kwa sasa natumia zaidi ya dakika ishirini kushusha wazungu.

2. Mpigo wa pili nimekuwa nikishusha ndani ya nusu saa. Lakini kwa sasa sishushi hata kama nikishughulika saa nzima. Mpini haulali lakini wazungu sishushi. Mpaka nachoka nashuka toka kifuani pasipo kushusha wazungu.

3. Asubuhi huwa tunaagana na mama kwa kutumia dakika ishirini. Lakini kwa sasa mpini haonyeshi dalili yoyote ya kupeana na mama asubuhi.

Hali hii ya mabadiliko imesababisha mama kuniwazia kuwa huwenda ninashughulika nje ya ndoa.
 
Usitumie jina mama kwa mkeo kwani haiwezekani kumkaz mama,labda umalizie mama watoto.
 
Konde boy ni mhubiri wengi tumeshakiri ila kama umechanja kisirisiri
UNAPUNGUZA UTAMU
 
Sikuaminishi chochote kwa sababu miili ya binadamu haifanani.
Chanjo utaikwepa tu kama wewe shughuli zako ni za humu humu ndani. Once unapotaka kutoka nje ya nchi kwa safari zozote, ni lazima utapima na kupigwa chanjo. Hakuna hiyari ukifikia hatua hiyo.

Kuhusu changamoto mi sijaziona .
 
Back
Top Bottom