Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Mara nyingi saaana wanadhani mie ni mwanaume!!! Ila hainisumbui kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na wewe una visa ...mara shunie akusakizie viben 10
 
MIMI WATU HAWATAKI NIPNGEE UTANI WOWOTE MIJITU HUWA INAPARAMIA ETI WEEH BIGMIND GANI HUWA NAISHIA KUWACHEKA MAANA UNAKUTA NIMEANDIKA KITU MAKUSUDI..
 
Na viniogope kabisa maana naweza chukua kiboko niwachape
Unasema tu hapa ...ndo unatoka job unakuta kishaosha vyombo deki swafiii kimetandika kitanda utakumbuka kiboko kweli au chenyewe kikugaragazee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dahh
 
ila username zisizoeleweka ni KE/FE zinasaidia sana coz kuna watu wabaguzi wanajudge coment kulingana na jinsia acha tuendelee kuitana wakuu tu unachat na mama mkwe , baba mkwe, dada, kaka, shemeji anapost pumba unamuita mkuu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…