Elgibo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 1,067
- 1,518
Unatumiaga maneno ya hisia kali sanaNijirekebishe kipi naomba ukiseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumiaga maneno ya hisia kali sanaNijirekebishe kipi naomba ukiseme
Mkuu wazima mitaa ya shigamba hukoYaani namuwazia sana siku nikimbahatisha !
Kwa hiyo nikitumia maneno ya hisia kali ndio naonyesha upopoma??Unatumiaga maneno ya hisia kali sana
Jina ni sahihi isipokuwa tu avatarUngeanza wewe mkuu ingependeza zaidi
Hata mie nahisi hivyoSakayo=Zakayo
Una punje za kidume weww[emoji13]
Nakutania tu kipenzi, uwe na amani na nisameheHata mie nahisi hivyo
Mimi nipo kwenye list[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara nyingi saaana wanadhani mie ni mwanaume!!! Ila hainisumbui kabisa
UsijaliNakutania tu kipenzi, uwe na amani na nisamehe
Asante kipenzi dadaUsijali
Nina amani kabisa
HahaMimi nipo kwenye list[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mara nyingi saaana wanadhani mie ni mwanaume!!! Ila hainisumbui kabisa
Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe una visa ...mara shunie akusakizie viben 10
Kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa
Yaani wewe??!!! Ila niko na sura ya baba ndo maana!!
Na viniogope kabisa maana naweza chukua kiboko niwachapeKumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana viben 10 vinakuogopa
Unasema tu hapa ...ndo unatoka job unakuta kishaosha vyombo deki swafiii kimetandika kitanda utakumbuka kiboko kweli au chenyewe kikugaragazee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na viniogope kabisa maana naweza chukua kiboko niwachape
DahhMpaka uingie Pm ya jamiiforums, useme kwanini unataka kubidili. Lakini unaweza kutuma jumbe 1000000000000 hawajibu, usichoke uendelee tu kuwatumia ukiomba kubadili jina na pendekezo la jina jipya.
Ila nimeipenda hii avatar yako hahahahahahahahahaah
![]()
mmmh[emoji6] [emoji6]Na viniogope kabisa maana naweza chukua kiboko niwachape