Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Si utumie jina lako halisi mbona nzuri?
Kwa nini utumie jina la kitu chenye tobo
 

Kama hujaji expose PM na hatimie physical contact sidhani kama kuna tatizo. Wengi wa wahanga ni wale waliojiachia na kubleach basic privacy principles ki ukweli wanajuta. JF ni jukwaa pana sana lina watu tofauti tofauti na malengo tofauti tofauti pia . Kuna real na fake life ndani ya JF.You need to be very careful. Otherwise kashfa, matusi, kejeli,wizi,utapeli (mali/mapenzi),dharau ni vitu vya kawaida humu jukwaani. Suluhisho si kubadili ID au Avatar just be here as if you uko uwanja wa taifa kwenye mechi ya simba na yanga na umezungukwa na washabiki kila mmoja anaongea lake na kwa namna yake.
 
Nimekupenda
 
Nimekupenda

Neema niwagila athari walizopata watu humu JF ni kubwa mno. Hawa wanaojilipua na kutoa ushuhuda inawezekana ikawa chini ya 5%. Bahati mbaya wengi walifungua milango kwa kupitia PM hatimae kupeana contact zingine kilichofuata hapo ni majanga na majuto. Mbinu zinazotumika ni nyingi ikiwemo kusifiwa sana .. utasikia mara ohhh wewe una akili sana... Uko vizuri sana.. natamani nikufahamu nk. Wengine hujisifia sana na kujibust ... wana miradi mikubwa... wana uwezo mkubwa... wanaishi nje ya nchi (kama nayo ni previledge)... wana michongo ya maisha.... Wataalamu wa jambo fulani....Wana influence na mtu au taassisi fulani.... wazoefu wa jambo fulani... Wengine wana mtandao wenye lengo linalofanana.Ukiingia kwenye taming yao basi inakuwa "deal done". kitakachofuata ni siri yako.

TAKE CARE !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…