Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mimi nipo nipo kama nilivyo nakusalimia wewe unaesoma hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijanywa wala sijavuta chochote, nasubiria ugali tu hapaMbalizi umekunywa nini leo na umevuta cha wapi [emoji86][emoji86][emoji86]
Ndiyo hiiNi id hiyo unayotumia
Usalimike mchafu kichwanMimi nipo nipo kama nilivyo nakusalimia wewe unaesoma hapa
Bidada anakutilia mashaka kutokana na kuntu unazotoaSijanywa wala sijavuta chochote, nasubiria ugali tu hapa
Wewe wasemaa mkuuKwamba una tobo?
Mngh!Bidada anakutilia mashaka kutokana na kuntu unazotoa
Tunapoa trtbPoleni wahanga
Yaani acha tu mamyNakumbuka hii. Nishawahi ona sehemu
Abee
NakupendaUkweli ninaujua me achana nao buana
Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z watu badala ya kujenga hoja.
Nikiwa moja ya watumiaji wa jukwaa la mahusiano na celebrity forum pia Jukwaa la Jf doctor kuna watu wanaleta habari etii oooh
Youngdonats18 iyo donati ni maandazi yenye tobo katikati kwahiyo hivi na vile
But donats nimeamua kufupisha my name Donatus ila kifupi imekua kero kwa raia wa hayo majukwaa yan mtu unajenga hoja afu mtu anajibu kulingana na username yako
Naomba mods mnipe link ili niweze kubadili jina langu [HASHTAG]#madness[/HASHTAG]
NimekupendaKama hujaji expose PM na hatimie physical contact sidhani kama kuna tatizo. Wengi wa wahanga ni wale waliojiachia na kubleach basic privacy principles ki ukweli wanajuta. JF ni jukwaa pana sana lina watu tofauti tofauti na malengo tofauti tofauti pia . Kuna real na fake life ndani ya JF.You need to be very careful. Otherwise kashfa, matusi, kejeli,wizi,utapeli (mali/mapenzi),dharau ni vitu vya kawaida humu jukwaani. Suluhisho si kubadili ID au Avatar just be here as if you uko uwanja wa taifa kwenye mechi ya simba na yanga na umezungukwa na washabiki kila mmoja anaongea lake na kwa namna yake.
Nimekupenda
nakutafuta ujue....[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji134]
[emoji7][emoji7][emoji7]Nakupenda
Nimekupenda