my ribs. Shemela weweSi utumie jina lako halisi mbona nzuri?
Kwa nini utumie jina la kitu chenye tobo
Shkamonakutafuta ujue....
Sasa unataka kuninyima nini jamani???Shkamo
JamaaniSasa unataka kuninyima nini jamani???
sio vizuri hivyo ujue...ila wewe....acha tuuu we mwenyewe unajua...
Basi sawa tuuuu....ila ukweli unaujua wewe mwenyewe tuuu....Jamaani
HayaBasi sawa tuuuu....ila ukweli unaujua wewe mwenyewe tuuu....
Ongea na Nafsi yako....
muelewa...wewe ni fast learner...ikizingatiwa na leo ni birthday yanguHaya
Happy born day, Mungu akupe hitaji la moyo wako!! Akupe nguvu ya kutimiza malengo yako!!!Ahsante kwa kuwa
muelewa...wewe ni fast learner...ikizingatiwa na leo ni birthday yangu
kuna kitu nitakutunuku kwa kweli....
Hongera kwa kuishinda nafsi yako na kuupa nafasi moyo wako uongee na mimi....
ikigijo
Ahsante sana sana hitaji la Moyo wangu unalijua fika jamani...nitafurahi kama utalipokea....Happy born day, Mungu akupe hitaji la moyo wako!! Akupe nguvu ya kutimiza malengo yako!!!
ikigijo ni mtafutaji kama hujui. Miezi mitatu iliyopita alisema ni Bithday yake. Sijui ana Birthday ngapi kwa mwakaHappy born day, Mungu akupe hitaji la moyo wako!! Akupe nguvu ya kutimiza malengo yako!!!
Nashukuru na wewe kujua kuwa natafuta...inawezekana yeye alikuwa haaminiikigijo ni mtafutaji kama hujui. Miezi mitatu iliyopita alisema ni Bithday yake. Sijui ana Birthday ngapi kwa mwaka
Hata mimi nakupenda pia.Nakupenda
Ila chonde chonde usinigonganishe na Transcend akafikiri mimi ni kuwadi.Nashukuru na wewe kujua kuwa natafuta...inawezekana yeye alikuwa haamini
kwa bandiko lako umenisaidia sana Mkuu...wanaotafuta ndo hupewa...😉
Bila shaka utakua umetumwa na C.E.O max uje kuokoa jahazNeema niwagila athari walizopata watu humu JF ni kubwa mno. Hawa wanaojilipua na kutoa ushuhuda inawezekana ikawa chini ya 5%. Bahati mbaya wengi walifungua milango kwa kupitia PM hatimae kupeana contact zingine kilichofuata hapo ni majanga na majuto. Mbinu zinazotumika ni nyingi ikiwemo kusifiwa sana .. utasikia mara ohhh wewe una akili sana... Uko vizuri sana.. natamani nikufahamu nk. Wengine hujisifia sana na kujibust ... wana miradi mikubwa... wana uwezo mkubwa... wanaishi nje ya nchi (kama nayo ni previledge)... wana michongo ya maisha.... Wataalamu wa jambo fulani....Wana influence na mtu au taassisi fulani.... wazoefu wa jambo fulani... Wengine wana mtandao wenye lengo linalofanana.Ukiingia kwenye taming yao basi inakuwa "deal done". kitakachofuata ni siri yako.
TAKE CARE !!!!
Natambua uwepo wenu,nikiwa km mwanzilishi wa hii thread nabariki harakati hiziNakupenda
Hata mimi nakupenda pia.
WowHata mimi nakupenda pia.