Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Hahahahahaaa mnafuatiliana sio?
 
Ahsante kwa kuwa

muelewa...wewe ni fast learner...ikizingatiwa na leo ni birthday yangu
kuna kitu nitakutunuku kwa kweli....
Hongera kwa kuishinda nafsi yako na kuupa nafasi moyo wako uongee na mimi....
ikigijo
Happy born day, Mungu akupe hitaji la moyo wako!! Akupe nguvu ya kutimiza malengo yako!!!
 
Happy born day, Mungu akupe hitaji la moyo wako!! Akupe nguvu ya kutimiza malengo yako!!!
Ahsante sana sana hitaji la Moyo wangu unalijua fika jamani...nitafurahi kama utalipokea....
 
ikigijo ni mtafutaji kama hujui. Miezi mitatu iliyopita alisema ni Bithday yake. Sijui ana Birthday ngapi kwa mwaka
Nashukuru na wewe kujua kuwa natafuta...inawezekana yeye alikuwa haamini
kwa bandiko lako umenisaidia sana Mkuu...wanaotafuta ndo hupewa...😉
 
Neema niwagila athari walizopata watu humu JF ni kubwa mno. Hawa wanaojilipua na kutoa ushuhuda inawezekana ikawa chini ya 5%. Bahati mbaya wengi walifungua milango kwa kupitia PM hatimae kupeana contact zingine kilichofuata hapo ni majanga na majuto. Mbinu zinazotumika ni nyingi ikiwemo kusifiwa sana .. utasikia mara ohhh wewe una akili sana... Uko vizuri sana.. natamani nikufahamu nk. Wengine hujisifia sana na kujibust ... wana miradi mikubwa... wana uwezo mkubwa... wanaishi nje ya nchi (kama nayo ni previledge)... wana michongo ya maisha.... Wataalamu wa jambo fulani....Wana influence na mtu au taassisi fulani.... wazoefu wa jambo fulani... Wengine wana mtandao wenye lengo linalofanana.Ukiingia kwenye taming yao basi inakuwa "deal done". kitakachofuata ni siri yako.

TAKE CARE !!!!
Bila shaka utakua umetumwa na C.E.O max uje kuokoa jahaz
 
Back
Top Bottom