Abee mchepuko wangu
Umemsoma mleta mada?Abee mchepuko wangu
Basi tupendane mpaka kifo kitutenganishe....Wow
Mie Nakupenda zaidi
Nimemsoma ndio, ila naona unazidisha ratiba ya kuwa na bi mkubwa!!! Hivi unajua mie bado mdogo????Umemsoma mleta mada?
Aki si eti kifo kitutenganishe, ni mpaka tufe pamoja!!!Basi tupendane mpaka kifo kitutenganishe....
Ewaaaa.... hayo ndo maneno sasa...Aki si eti kifo kitutenganishe, ni mpaka tufe pamoja!!!
Nami nimefulika kabisa!!!Ewaaaa.... hayo ndo maneno sasa...
Nimesuuzika
Afu kule mtaa wa pili ndo umenisusa mazima?? Nimwachie Mungu?Nami nimefulika kabisa!!!
We uko busy na Sky mpaka roho yauma, Mungu anakuona ujueAfu kule mtaa wa pili ndo umenisusa mazima?? Nimwachie Mungu?
Usifanye hivyo bhana...We uko busy na Sky mpaka roho yauma, Mungu anakuona ujue
Aliniaga wakati anaondoka.. So sadMwana mpotevu huyo long time no see labda uweke tangazo
Kumbe Nifanyeje mie, damu ya motoUsifanye hivyo bhana...
Dah.... nimeumia sana.Kumbe Nifanyeje mie, damu ya moto
Punguza ratiba ya bi mkubwa basi jamani!!! Mbona wanitesa aki mtoto wa wenyeweDah.... nimeumia sana.
Ama kweli akufukuzaye hakuambii toka...Punguza ratiba ya bi mkubwa basi jamani!!! Mbona wanitesa aki mtoto wa wenyewe