Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

Neema niwagila athari walizopata watu humu JF ni kubwa mno. Hawa wanaojilipua na kutoa ushuhuda inawezekana ikawa chini ya 5%. Bahati mbaya wengi walifungua milango kwa kupitia PM hatimae kupeana contact zingine kilichofuata hapo ni majanga na majuto. Mbinu zinazotumika ni nyingi ikiwemo kusifiwa sana .. utasikia mara ohhh wewe una akili sana... Uko vizuri sana.. natamani nikufahamu nk. Wengine hujisifia sana na kujibust ... wana miradi mikubwa... wana uwezo mkubwa... wanaishi nje ya nchi (kama nayo ni previledge)... wana michongo ya maisha.... Wataalamu wa jambo fulani....Wana influence na mtu au taassisi fulani.... wazoefu wa jambo fulani... Wengine wana mtandao wenye lengo linalofanana.Ukiingia kwenye taming yao basi inakuwa "deal done". kitakachofuata ni siri yako.

TAKE CARE !!!!
Thanks for your advice
 
Mimi kuna mjinga aliwahi kuja PM na kuanza kunitongoza akijua ni KE
Ulimkubalia ama , ila nahisi namna yako ya kuchangia ilikua na mashaka naomba niingie mzigon kufatilia comment zako
Lord have mercy
 
Back
Top Bottom