JamaaniAma kweli akufukuzaye hakuambii toka...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi hata nitoe mchango wenye maana nitabezwa sana sababu ya hili jina
Nlishakusamehe tangu jana...Jamaani
Nisamehe mimi
Wanakuonea wapi bhana??? Hapa wanaona maandishi yako tu, ndo raha ya JF.Wengi huniona km kahaba hahahahahaaa hainipi taabu naenjoy tu
AsanteNlishakusamehe tangu jana...
Hunihisi, shikamoo babuWanakuonea wapi bhana??? Hapa wanaona maandishi yako tu, ndo raha ya JF.
Lile la chini kabisa kule... la watu wenye umri zaidi ya miaka 18.Babu shikamoo me nina jukwaa gani humu jaman au nimeshapewa umod bila kujijua
Wewe huruhusiwi... wataniibia.Na mie unipeleke huko
Babu nimeokoka nina mda sana sijaingia huko ujueLile la chini kabisa kule... la watu wenye umri zaidi ya miaka 18.
Kwani niko na miaka ngapiWewe huruhusiwi... wataniibia.
MmmhBabu nimeokoka nina mda sana sijaingia huko ujue
Veep na huo mgunoMmmh
HallelujahVeep na huo mguno
AmeenHallelujah
Nshakuambia staki uende kule... we veepee???Kwani niko na miaka ngapi
Mmmmmh....Babu nimeokoka nina mda sana sijaingia huko ujue