Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria kandamizi ambazo haziminyi tu uhuru wa maoni na kuhatarisha faragha za watu bali pia linaua ubunifu, hii ni hatari!
Inasikitisha kwamba wanachofikiria ni kushinda tu uchaguzi na kujisafishia njia mapema ili upuuzi wowote watakaofanya upite bila shida yoyote.
Bado hawajifunzi kuwa sheria hizi si kwaajili ya watu fulani tu, hata wao zitawaathiri siku moja, lakini pia vizazi zao vitakuja kuathirika na upumbavu huu wanaoutengeneza sasa kwa kuwa na uoni unaoishia tu kwenye pua zao!
Nape ulikuwa miongoni mwa watu waliotia ngumu mapendekezo ya sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi yalipoletwa, ulipodukuliwa na mazungumzo yako na Kinana kuachiwa kwa hewa ndio ukajua kumbe hata wewe yanaweza kufika. Sasa inakuaje unataka kurudia makosa na kuacha mambo ya kipuuzi kama haya yafanyike? Unatia aibu kwa cheo unachokisimamia!
Rekebisheni jambo hili, mnazidi kuididdimiza nchi kwa tamaa zenu za muda mfupi. Halafu kila siku mnatupigia kelele mmefungua nchi, kwa mambo ya kipuuzi kama haya?