bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
wana jf na watanzania wenzangu!!
tuma ujumbe kwa mtandao wowote ule wenye neno "hapana" kwenda kwenye namba 15016 kuna jibu linalokuja na linaonyesha kwamba watanzania tumeliwa hela nyingi sana kwa ujumbe unaoonyesha kwamba ccm imekuwa na mpango maalum wa kuichangia ishinde, tena bila idhini ya watanzania!!!
tunza ujumbe huo mara utakapoupata, ni silaha ya kuing'oa ccm na kampeni zao chafu!!
Siku zote nilikuwa nikijiuliza, hivi hawa wenye makampuni ya simu wanapata vipi faida kwa mtindo wa shilingi moja kwa sekunde katika kipindi hiki ambapo karibu kila mtu ana simu (mijini) na cha zaidi Mchina anatengeneza simu zenye line mbili? Na je, kwa mwendo wa vocha za 300, 500, na nipige tafu faida itapatikana wapi?
Baada ya kuzagaa kwa taarifa za ujumbe unaohusu "kuichangia CCM kwa lazima", sasa naweza kujua kwa nini tunadanganywa gharama za kupiga simu zimeshuka. Kuna uwezekano mkubwa kwamba CCM wamewalipa makampuni ya simu pesa ya kutosha kabisa ili makampuni yashushe bei na kwa hiyo, kimya-kimya watumiaji wa mitandao wanakatwa salio bila kujua.
Inakuwaje CCM wanatapatapa namna hii jamani? Siri zote tunazipata kutoka huko huko kwenu CCM. Fanyeni ghiliba zote. Tutazinyaka. Hata mfanyie kuzimu. Tutazinyaka.
Kila nafsi itaonja mauti jamani. Tulieni.
Kama wako katika kampeni wanadiriki kuwaibia wananchi bila huruma . je wakishika madaraka itakuwaje? mtanzania think about it.wana jf na watanzania wenzangu!!
tuma ujumbe kwa mtandao wowote ule wenye neno "hapana" kwenda kwenye namba 15016 kuna jibu linalokuja na linaonyesha kwamba watanzania tumeliwa hela nyingi sana kwa ujumbe unaoonyesha kwamba ccm imekuwa na mpango maalum wa kuichangia ishinde, tena bila idhini ya watanzania!!!
tunza ujumbe huo mara utakapoupata, ni silaha ya kuing'oa ccm na kampeni zao chafu!!
Hii kashfa inatakiwa iwekwe wazi mpaka katika vyombo vya habari ili kila Mtanzania ajue. Nimejaribu kuwatumia waliopo sms waliopo kwenye contacts wangu na e mail, lakini kuna haja ya umma mzima kufahamu hili.Duh! Hii kali,kwanza namshukuru aliyetoa hiyo taarifa vinginevyo tusingejua uhuni unaofanywa na ccm pamoja na makampuni ya simu.
Cha kufanya ni kulipigia kelele,wananchi wengi wajue kuwa mafisadi hawachukui kodi zetu tu bali hata ile hela ndogo tunayobaki nayo mifukoni.Pia ni kuwashitaki wahusika wote,ikibidi kuyagomea makampuni ya simu husika.
Hatan kwenye Zain ipo...Halafu hii kitu iko kwenye mitandao ya VodaCom na Tigo. Bado sijajua mitandao mingine! Dkt Slaa awalipue hawa jamaa kwa ufisadi huu!
Kimbilio letu ni tarehe 31-10-2010...baada ya kuwa garagaza tunafungua kesi ya madai....Jamani watanzania tukimbilie wapi? Tunaujumiwa kila kona. Jaman mi nashindwa kuelewa la kufanya. Watanzania jiondoe katika kuchangia ccm,tuma 'HAPANA' kwenda 15016 .Ccm ni chama cha matapeli jaman mwambie Slaa akiingie ikulu aifilisi Ccm,afute mitandao yote ya simu ili tuanze upya. Ufisadi hautakubalika.