Elections 2010 Tuma neno "hapana" kwenda 15016 uone ccm ilivyokuibia bila idhini yako

Hawa jamaa wamejaribu kuwatumia watu sms ili wachangie imeshindikana kwa hiyo wameamua kutufanyia uhuni hivi? I can't believe it!
 
wanasheria tusaidieni juu ya hili maana ni wizi wa waziwazi...
 
Hawa jamaa wameshabadili ile msg,sasa hivi wanaandika;
Asante kwa ujumbe wako,kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma.Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM.
 
Unachangiaje bila hela?? hakuna mantiki hapo!
 
Jana nilijitoa sasa najiuliza nani aliniingiza uko?
Kwanza ni kuwashitaki Voda/Tigo kwa kuwapa CCM namba yangu pili Ni CCM kurudisha ela zote nilizochangia na fidia juu.
TCRA mko wapi na huu umafia wa CCM.
 
Hawa jamaa wameshabadili ile msg,sasa hivi wanaandika;
Asante kwa ujumbe wako,kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma.Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM.

Ni kweli ... nimetuma hilo neno napata msg uliyoiwekahapo juu.
Kabla ya hapo ni msg ya aina gani wenzetu mliipata?
 
Jana nilijitoa sasa najiuliza nani aliniingiza uko?
Kwanza ni kuwashitaki Voda/Tigo kwa kuwapa CCM namba yangu pili Ni CCM kurudisha ela zote nilizochangia na fidia juu.
TCRA mko wapi na huu umafia wa CCM.
na Zain pia sijui mitandao mingine
 
Inawezekana wamebadili ujumbe. Nimetuma tigo nimejibiwa 'asante kwa ujumbe wako. kama umeshiriki changia ushinde utaondolewa kwenye huduma..'
 
Wamebadilisha ujumbe usiku wa kuamkia leo!

Ujumbe wa awali ulikuwa hivi:

asante kwa ukumbe wako,utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccm
 
Back
Top Bottom