Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wameshabadili ile msg,sasa hivi wanaandika;
Asante kwa ujumbe wako,kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma.Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM.
Hawa jamaa wameshabadili ile msg,sasa hivi wanaandika;
Asante kwa ujumbe wako,kama umeshiriki Changia ushinde utaondolewa kwenye huduma.Kumbuka hakuna malipo kutumia mtandao wa mawasiliano wa CCM.
na Zain pia sijui mitandao mingineJana nilijitoa sasa najiuliza nani aliniingiza uko?
Kwanza ni kuwashitaki Voda/Tigo kwa kuwapa CCM namba yangu pili Ni CCM kurudisha ela zote nilizochangia na fidia juu.
TCRA mko wapi na huu umafia wa CCM.
asante kwa ukumbe wako,utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na ccmni kweli ... Nimetuma hilo neno napata msg uliyoiwekahapo juu.
Kabla ya hapo ni msg ya aina gani wenzetu mliipata?