Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simfanyi chochote, nasubiri tu jibu.nini tena? wataka kumfanya nini Kaboom wa watu?
hakuna shaka ngoja aje then utaniambia ameniambia niniNinayo pasiwedi, so nitaona tu.
salamu kwa wakwe zangu wapendwa.Acha tulee tu mamito
Kwahiyo mapenzi ndio basi tena tunabakia tu kulea?
Hahahaaaa!! Mkwe eti sasahivi tulee tu, hii haijakaa sawa kabisa.salamu kwa wakwe zangu wapendwa.
Ujumbe Chururu si ndondondo
Hahahaaaa!! Mkwe eti sasahivi tulee tu, hii haijakaa sawa kabisa.
Tatizo mkeo nae anataka hadi nimhonge ndio anisaidie kuweka mambo sawa. Basi hivi amefurahiiii.Hahaa,..mkwe hiyo sio
japo mzee ana machungu
mtume Bae HS akaongee naye
labda anaweza kumuelewa
We njoo makoti yapo mengi tu hukuHuko ndo kwenyewe sasa.. Halafu nina safari ya Arusha..Niandalie koti basi
Yeah..Kwa manufaa ya pande zote mbiliKwahiyo mapenzi ndio basi tena tunabakia tu kulea?
Teh teh..Nakusalimu pia mkwesalamu kwa wakwe zangu wapendwa.
Ujumbe Chururu si ndondondo
Ahsante sana..Huu ndo ujirani mwema..Ntapita kwako pia kutia barakaWe njoo makoti yapo mengi tu huku
Hapana aisee, i cant.Yeah..Kwa manufaa ya pande zote mbili
Teh nasubiri ule mzigo aiseeTatizo mkeo nae anataka hadi nimhonge ndio anisaidie kuweka mambo sawa. Basi hivi amefurahiiii.