Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
asante mkuu nimezipata na kwako pia salamu zakoValentina
atoto
mshana jr
miss chagga
Heaven Sent Heaven on Earth Nyani Ngabu
Salaaaaam kwenuuuuuuuuuu
nimechelewa sana kutuma salamu acha nianze.
1. zimuendee wa kumoyo wangu STUNTER akiwa hapa pembeni yangu.
2. zimuendee Daby kwa upendo wake mwingi juu ya familia ya Bw/Bi STUNTER
3. Ziwaendee wale ma fans wangu woote bila kumsahau Chief Engineer kwa kuwa yeye ananibamiza sana kwenye comments zangu.
Nafurahi zimekukuta ukiwa bukheri wa afyaasante mkuu nimezipata na kwako pia salamu zako
Nini hujui kwa mfano? kwa hiyo sasa hutakuwa unanibamiza eeeeh, maana STUNTER anapata shida sana kunibembeleza baada ya mabomu yako.Hahahaha....
Salam zimefika....
Kumbe wewe ni manzi wa STUNTER ???
Jamaa anafaidi... Duh
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Ha haa nitakusemeaNapenda kutuma salamu zanagu kwa watu wangu watatu
1 Juma
2 Pumba
3 Maharage
Ujumbe akiinama chungulia akigeuka kimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
Athanteee.... Napokea na hizo za Nyani Ngabu kanitumaValentina
atoto
mshana jr
miss chagga
Heaven Sent Heaven on Earth Nyani Ngabu
Salaaaaam kwenuuuuuuuuuu
Haaaaaaa kumbeeeee upo bado naisubiri ahadi yetu sisterAthanteee.... Napokea na hizo za Nyani Ngabu kanituma
Asante mkuuNafurahi zimekukuta ukiwa bukheri wa afya
wanyakyusa na wachagga tupo pamojaaaaaaa though nyinyi wapenda pesaaaa enjoy the great
Hivi bado unanipendaga au ulighairi??Valentina
atoto
mshana jr
miss chagga
Heaven Sent Heaven on Earth Nyani Ngabu
Salaaaaam kwenuuuuuuuuuu
Acha kumdanganya mtoto wa watu wakati biashara ilishakufa, au hiyo ni special order??Teh teh..Size zake ziliisha..Now anasubiri nishushe mzigo mpya aje kuchukua