Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

nimechelewa sana kutuma salamu acha nianze.

1. zimuendee wa kumoyo wangu STUNTER akiwa hapa pembeni yangu.
2. zimuendee Daby kwa upendo wake mwingi juu ya familia ya Bw/Bi STUNTER
3. Ziwaendee wale ma fans wangu woote bila kumsahau Chief Engineer kwa kuwa yeye ananibamiza sana kwenye comments zangu.


Hahahaha....
Salam zimefika....
Kumbe wewe ni manzi wa STUNTER ???

Jamaa anafaidi... Duh

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Napenda kutuma salamu zanagu kwa watu wangu watatu
1 Juma
2 Pumba
3 Maharage
Ujumbe akiinama chungulia akigeuka kimbia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
Ha haa nitakusemea
 
si I said am karibisharing him as a brother jaman. Stunter and myself will arrange for that, for him to occupy the servant's quarter.

am sure Kaboom will enjoy it.
Yeah..Ntaenjoy..Ila kikubwa ni koti mpendwa..Usisahau
 
Back
Top Bottom