Tuma salama kwa member watatu!

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Kuna wanachama hujawaona jukwaani kwa muda mrefu?
Au hujakutana nao kwenye nyuzi mbalimbali kwa muda mrefu?
Watumie salamu member watatu uliowamiss...!!
 
Kapeace popote ulipo salam zikufikie
 
Sawa ndugu.
Endelea kutegea sikio JAMII~FM!
Salamu ziwafikie
1. Mshana jr mzee wa majeneza
2. Ndugu Joseverest popote alipo
3. Miss Chagga I love you in the name of money
UJUMBE : Waendelee kutumia jf...Asante ndugu mleta sledi kwa fursa Saindoff


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zakwanza zimuendee Joseverest popote pale ulipo namwambia maisha ni popote .

Zapili zimuendelee Demi , nahisi huyu ni muarusha nami namuambia she is captivating and I care for her deeply .

Zatatu ,, zimuendee kaka yangu mpendwa damu damu toka nitoke popote pale ulipo nakuomba ujue nakupenda sana.( msalimie shemeji na watoto wetu )

Ujumbe nawambia ,,Katika nchi ya vipofu mwenye chongo ni mfalme.
 
Ziwafikie wote wanaotumia mtandao wa tigo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…