Hamna bhana ingeshasambaa mkuuNdivyo wasemavyo wahenga wa JF!
Salamu zangu za kwanza ni kwa Ex wangu MziziMkavu, sijuu kama yu hai au Makinikia yamempitia.
Salamu za pili ni kwa Ex wangu wa kipindi cha usichana wangu ndugu TANMO, kama umebadili ID naomba uje Pm nijue ID yako mpya.
Na salamu zangu za tatu na za mwisho ni kwa kaka yangu mpendwa BAK, nakusalimia popote ulipo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Salamu zangu za kwanza ni kwa Ex wangu MziziMkavu, sijuu kama yu hai au Makinikia yamempitia.
Salamu za pili ni kwa Ex wangu wa kipindi cha usichana wangu ndugu TANMO, kama umebadili ID naomba uje Pm nijue ID yako mpya.
Na salamu zangu za tatu na za mwisho ni kwa kaka yangu mpendwa BAK, nakusalimia popote ulipo.
HihihiiiiZiwafikie wote wanaotumia mtandao wa tigo
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Salamu zangu za kwanza ni kwa Ex wangu MziziMkavu, sijuu kama yu hai au Makinikia yamempitia.
Salamu za pili ni kwa Ex wangu wa kipindi cha usichana wangu ndugu TANMO, kama umebadili ID naomba uje Pm nijue ID yako mpya.
Na salamu zangu za tatu na za mwisho ni kwa kaka yangu mpendwa BAK, nakusalimia popote ulipo.
Shukrani sana Madame B. Nami nakusalimia sana.
I miss you Love
Asante kwa salamu mkuu NIYOMBARE