Tuma salama kwa member watatu!

Tuma salama kwa member watatu!

Salamu zangu natuma Kwa wafuatao
Evart
Evart
Evart
Evart
 
Salamu zangu ziwafikie watu hawa..
Chakorii Muda mrefu sijakuona, I miss you Dear Hata tu text twangu hujibu..
Iceman 3D Brother tatizo nini mbona umepotea? Shemeji kakuficha wapi hata simu yako haipatikani!
Rudi brother jf
usser umepotelea wap joh rudi bwana Tripple A Mahondaw kakumiss

Ujumbe..
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na Hamu..
 
Sky Eclat
Sky Eclat
Sky Eclat
Ujumbe nampenda sana

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Salamu zangu za kwanza ni kwa Ex wangu MziziMkavu, sijuu kama yu hai au Makinikia yamempitia.

Salamu za pili ni kwa Ex wangu wa kipindi cha usichana wangu ndugu TANMO, kama umebadili ID naomba uje Pm nijue ID yako mpya.

Na salamu zangu za tatu na za mwisho ni kwa kaka yangu mpendwa BAK, nakusalimia popote ulipo.
 
Shukrani sana Madame B. Nami nakusalimia sana.

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Salamu zangu za kwanza ni kwa Ex wangu MziziMkavu, sijuu kama yu hai au Makinikia yamempitia.

Salamu za pili ni kwa Ex wangu wa kipindi cha usichana wangu ndugu TANMO, kama umebadili ID naomba uje Pm nijue ID yako mpya.

Na salamu zangu za tatu na za mwisho ni kwa kaka yangu mpendwa BAK, nakusalimia popote ulipo.

I miss you Love
 
Shukrani sana Madame B. Nami nakusalimia sana.

Screenshot_2017-08-28-16-44-27-1.png
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Masai dada, my paprika and my mchepuko madam mwajuma..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Street teacher
 
Back
Top Bottom