Unakwama wewe hapo unashindwa hata kummensheni crush wako [emoji849][emoji849]Crush unakwama 😕
Zimepokelewa kwa mikono minne😀Natuma salamu kwa Mjomba Fujo
Mjomba una mikono mingapi?Zimepokelewa kwa mikono minne[emoji3]
Unakwama wewe hapo unashindwa hata kummensheni crush wako [emoji849][emoji849]
Subiri nikitulia [emoji38]
Ukitumia Browser ndio utaelewa vizuriMwee sasa mbona wengine tumeshindwa kuelewa
Nimependa spirit yako Zoe, umeuliza kwa muda na huchoki kutaka kujua!Oohh kumbe basi ndiyo maana wengine tumetoka kapa. Sasa nilikuwa nataka kujua capitalpool yeye kafanyajefanyaje hadi imekuwa hivyo eti bro capitalpool naomba unieleweshe tafadhali.
Nimependa spirit yako Zoe, umeuliza kwa muda na huchoki kutaka kujua!
Wacha nijaribu, usichoke niulize ukikwama mahali.
View attachment 1525412
Baada ya step (ii) hapo juu, Click edit na ufanye kama ilivyo elekezwa hapa chini.
View attachment 1525405
Sasa inasomeka Nana badala ya Zoe na notification utapa!
View attachment 1525407
😂😂😂Juzi hapa wakamwaga ugali tukamwaga mboga