Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Nimetulia kaka🤣🤣
 
Ziende kwa
Magufuli
Makonda
Ndungai
Kikwete
Mwinyi
Kagame
Trump
Putin
Na mimi mwenyewe!
Ujumbe, bandu bandu huisha gogo!
 
Kwa hiyo mimi sipo kwenye top five ya mtu yeyote... nafanya nini hapa duniani mimi [emoji1787][emoji1787]

Mmhh wewe unavyopendwa hauwezi kukosa kwenye top 5 ya watu, sema tu ni vile watu wengi hawajapita kwenye huu uzi na hata Saint Anne hajapita.

Mimi ndiyo nina uhakika sipo kwenye top 5 ya mtu yeyote humu JF, ila ninawapenda watu wengi sana na ningepata nafasi ya kuwataja wote ningewataja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha kunilaghai we mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…