Tuma Salamu Kwa Watu Watatu (3)

Tuma Salamu Kwa Watu Watatu (3)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Salamu zangu ni kwa ;
1: Mshana Jr
2:Miss Natafuta
3:Chinembe

Ujumbe: wakae mbali sana na watu wasiojulikana:



Tuma Salamu zako Kwa watu watatu wa humu Jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.gentamycine
2.prof ndumilakuwili
3.mkwepa kodi


haya ndo majina nnayoyaona sana kwenye "siredi" nyingi humu JF

ujumbe: kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa watu wasiojulikana watatia timu
 
1.gentamycine
2.prof ndumilakuwili
3.mkwepa kodi


haya ndo majina nnayoyaona sana kwenye "siredi" nyingi humu JF

ujumbe: kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa watu wasiojulikana watatia timu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Natuma salamu kwa wafuatao
Kwa usalama wangu
Kibodangote
Muosha rungu
Ujumbe nawaambia tukumbukane kupitia CRDB
 
Natuma kwa
Bujibuji
Mwafwi
Nyani Ngabu
Nawatakia jumapili njema
 
Otario
Nyani ngabu
Mshana[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Natuma salamu kwa
1.Wasiojulikana popote walipo
2.[HASHTAG]#ABJ[/HASHTAG] popote alipo
 
Waendesha nissan patrol,watekaji na wa mwisho DAB

Nothing to fear than fear itself
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Natuma Salamu kwa
1: The bold
2:Sky late
3: Mzizi mkavu

Ujumbe Ata kuku ana manyoya japo anatafutwa na wasiojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom