mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
unanizingua ww....nilipokwambia kwa pm nataka kuonana na ww ulidhani nn.......
nataka kukupa mafweza.....shauri zako, bahati haiji mara 2
asante sana ndugu mtangazaji kwa jina naitwa beibe nasty a.k.a mamaa judgement, napenda kuwasalimu mume wangu kipenzi jg kwa sasa yupo kazin nampenda sana,pili kwa my kaka mentor na wifi catthy, kwa aunt niece eversmilin gal,babu aspirin, dada angu madame though yeye kagoma nitaja,pia bila kusahau zubedayo na arabella,jaman paka mweusi tii na rutashobolwa alllah kumbe wakt ndo huu zikufikie uuwiii wapenzi nawapenda woote kutaja sitomaliza leo hapa
Ujumbe wangu ni kula ni kula ubaya ni kukomba mboga
Dedication jogoo la shamba asante.
Kaizer bora hao wakuu wa nchi wakutane mapema na kupatana tena iwe kabla ya sikukuu ya Eid ili uwahi kurudi tusherekee pamoja. Mwenzio sijapata gauni la sikukuu ujue. Mke wa Erickb52 ameshaanza mashauzi kisa kaletewa gauni na skuna za sikukuu. Nilienda kwa rafiki zangu Azimio Jipya na Rashid wa Arusha walao wanikopeshe pesa za sikukuu wameninyima eti hawajui kama wewe utarudi salama toka mpakani. Kuomba pesa kwa Boflo mie naogopa huwa anadai vibaya yaani hana simile. Kongosho nae ananinyanyasa na vimaneno vyake eti anasema wewe sio jemadari wala nini. bora tu urudi mjini.
thanks ma swtlo, ila leo yaani kila nikikaa nafsi inahamalika manake nakumbukia lile busu lako la alfajiri ya leo.
miye napenda kutuma salaam za dhati kabisa kwa Asprin popo pale alipo mida hii akiwa na msiri wangu wa ukweli cacico na wake wenzie BADILI TABIA na Yummy. napenda kutuma salam kwa Kongosho, King'asti, Erotica cartura, mito wakiwa huko walipo mida hii.
kuna watu hwa wa muhimu sana kwangu wadogo zangu Eiyer, Mbimbinho platozoom charminglady na Excellent,nawapenda sana
jamani siwez kumsahau mwanagu kifungua mimba, yai langu la kwanza lililochavuchwa na mbegu yako ya kwanza Ronn M.
ujumbe wanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi, na tena mwanaume hasifiwi uhandsome anasiwa kwenda bank kudroo na kudeposit.
salam hzi zisindikizwe nawimbo .............kaburi ni mwanzo wa kuingia mbinguni.
hahahah bila kusahau mwanaume hasifiwi ndevu....