thanks ma swtlo, ila leo yaani kila nikikaa nafsi inahamalika manake nakumbukia lile busu lako la alfajiri ya leo.
miye napenda kutuma salaam za dhati kabisa kwa
Asprin popo pale alipo mida hii akiwa na msiri wangu wa ukweli
cacico na wake wenzie
BADILI TABIA na
Yummy. napenda kutuma salam kwa
Kongosho,
King'asti,
Erotica cartura,
mito wakiwa huko walipo mida hii.
kuna watu hwa wa muhimu sana kwangu wadogo zangu
Eiyer,
Mbimbinho platozoom charminglady na
Excellent,nawapenda sana
jamani siwez kumsahau mwanagu kifungua mimba, yai langu la kwanza lililochavuchwa na mbegu yako ya kwanza
Ronn M.
ujumbe wanaume hasifiwi sura
anasifiwa kazi, na tena mwanaume hasifiwi uhandsome
anasiwa kwenda bank kudroo na kudeposit.
salam hzi zisindikizwe nawimbo .............kaburi ni mwanzo wa kuingia mbinguni.