Salamu nimezipokea Mr Rocky . Napenda kutuma salamu kwa pacha wangu Fixed Point bila kumsahau BAK na ndugu zangu Lyagwa , Heaven on Earth , Simplicity , mito , Lady doctor , MwanajamiiOne , Himidini naona kama ukurasa hautatosha kama nitawataja wote basi pokeeni salamu zangu ndugu zangu wote popote pale mlipo nawapenda na Mungu awabariki sana.

Amina na wewe pia ufanikiwe mkuu ktk kila utakalotia mkono wako Bwana na akubariki