Kuna uvumi unaozagaa mitandaoni na sehemu mbalimbali kuwa kwa wale waliokosa mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015 ..HESLB wata release majina ya watu wengine watakao pata mkopo... ifikapo jumatatu tarehe 13 october.. Na hii inatokana na ukweli kwamba mwaka huu idadi kubwa ya watu wamekosa mkopo ukilinganisha na mwaka jana .mfano mwaka jana wanafunzi walio na sifa ya kujiunga na vyuo vikuu 12000 walikosa mkopo anbapo wanafunzi 28000 mwaka huu pia wamekosa mkopo zaid ya mara mbili ya mwaka jana...Je habari hizi ni za kweli?? Wenye kuelewa kuhusu hili jambo karibuni kuchangia
Waliopata mkopo wenyewe wengi ni chini ya asilimia 30, HESLB wanadharau sana kuna mwingine wamempa sh 4000 kama tuition fee
SOURCE?
Waliopata mkopo wenyewe wengi ni chini ya asilimia 30, HESLB wanadharau sana kuna mwingine wamempa sh 4000 kama tuition fee
SOURCE?
Kuna jamaa hapa saut kapewa hiyo 4000
Pitia pia orodha ya files zilizowekwa humu JF za vyuo mbalimbali utaona mwenyewe
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
jamani watarudaia kweli kutoa mkopo?
ina maana not secured ndio ata boom amna wadau kwa tuliokosa mkopo ata pesa takujikimu mbona mwaka huu amna desh wala zero tujue ebu nisaidien wadau.
Hiz n stor za kitaa,kwa waliokosa mkopo wajipange i.e warudi alternative ii,hali ni ngumu,ssm hawana hela,kumbuka wanajiandaa na Uchaguzi mwakani.