Zgerald95
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 235
- 59
Kuna uvumi unaozagaa mitandaoni na sehemu mbalimbali kuwa kwa wale waliokosa mkopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015.
HESLB wata release majina ya watu wengine watakao pata mkopo ifikapo jumatatu tarehe 13 october.
Na hii inatokana na ukweli kwamba mwaka huu idadi kubwa ya watu wamekosa mkopo ukilinganisha na mwaka jana.
Mfano mwaka jana wanafunzi walio na sifa ya kujiunga na vyuo vikuu 12000 walikosa mkopo anbapo wanafunzi 28000 mwaka huu pia wamekosa mkopo zaid ya mara mbili ya mwaka jana.
Je habari hizi ni za kweli? Wenye kuelewa kuhusu hili jambo karibuni kuchangia.