kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Watu wanaoongoza kwa kumchukia Sabaya ni wale mabwanyenye wa Hai na wafuasi wao.
Watu hao wengi walifurahia kufa Magufuli na ndio waliyomfitini Sabaya kwa Samia na yeye kuafiki kumtimua na kumtupa Sabaya lupango kwa kumpa kesi ya mchongo.
Licha ya Mahakama ya Rufaa kumuona Sabaya hana hatia na kumtoa kifungoni hawa jamaa wenye asili ya Hai hususan wamachame wana donge sana na Sabaya na wamemfungulia tena kesi ileile aliyoshinda rufaa kwenye Mahakama ya Moshi..
Ninachotaka kuonya chini ya huu utawala wa Samia kama jamii itaruhusu huu utamaduni wa kulipiza kisasi kwa kumzulia aliyekuwa mteule wa Rais mashtaka ya uongo bila shaka tutafika pabaya.
Mwendesha mashitaka Tumaini Kweka kwa jina anaweza kuhusishwa kama mwenyeji wa Hai. Kuna shaka anatumiwa na wenyeji wa Hai wenye chuki na Sabaya kwa ushupavu wake kudhibiti vitendo vya ufisadi na dhuluma dhidi ya wanyoge kwenye wilaya hiyo na pia kufanikisha jimbo hilo kutwaliwa na ccm kwenye uchaguzi 2020.
Ili kuondoa shaka kuhusu tumaini kweka kutumika dhidi ya Sabaya ingefaa mwendesha mashtaka mkuu kumuondoa tumaini kweka kuhusika na mashtaka dhidi ya Sabaya.