Tumaini Kweka asihusishwe na mashitaka kwa Sabaya

Kumbe alitenda maovu unakiri?
 
Kwanza kumtetea Sabaya ni laana mbele za MUNGU
 
Le general Sabaya hata mumtee vipi hachomoki. Matendo yake maovu mengi alikuwa akiyatenda watu wakimuona kwa kiburi kutoka kwa baba yake ibilisi. Ni muda muafaka sasa walimwengu waone kuwa Mungu huwa hali chapati ndo maana neno lake utimia.
 
Acha ufala basi hata kidogo.
 
"Licha ya Mahakama ya Rufaa kumuona Sabaya hana hatia na kumtoa kifungoni...."
Mkuu mahakama haikumwachia huru kwa hoja kwamba hana hatia, ila kulikua na technical faults kwenye proceedings ambazo kwazo mfungwa Sabaya alizitumia kukata rufaa kupinga hukumu.
 
Mchangieni mume wenu huko watu wanambokoa kinyama sana
 
wajinga wakubwa hawa. hakuna first wala second citizen hapa. acha sheria ichukue mkondo wake
 
Tulionya mapema sana lakini mkatupuuza , alipokuwa anatenda uhalifu na kurekodiwa ulitegemea nini ?
Sisi tunasema ni kesi za mchongo wa mafisadi. Na ndio maana ametoka kifungo cha miaka 30 kwenye rufaa. Na hizo kesi nyingine atashinda tu hata mukiwstumia kina tumaini kweka. Wenye kupenda haki tutahakikisha anatoka kwa rufaa.
 
Hamia Somalia
 
Huyo Tumaini Ni mhalifu tu aliyepo kwenye utumishi wa uma.

Analinda wahalifu wenzake kwa kumnyanyasa mzalendo.

Wanafanya matendo maovu ila mwisho wa siku watapata aibu tu.
 
Wakati Magu anaua watu tuliwaambia hamkusikia.
Leo serikali mpya na yenye utu imeanza kutenda haki,nyie mnalialia.
 
Huyo Tumaini Ni mhalifu tu aliyepo kwenye utumishi wa uma.

Analinda wahalifu wenzake kwa kumnyanyasa mzalendo.

Wanafanya matendo maovu ila mwisho wa siku watapata aibu tu.
Acha ujinga,
"Sabaya ndiye mzalendo"?
Basi wazalendo ni watu wa kuuawa.
 
Jambazi sabaya kumtetea inataka moyo
 
Ni mahakama kuona hana hatia ama kuna vipengele vya kisheria DPP alikosea sababu wanaweza kukata rufaa wakaifungua upya hiyo kesi.

Maovu waliyoyafanya hakina Sabaya, Makonda na wenzao hawastahili kuwepo uraiani. Wanatakiwa wawe jela.
Na atashinda kesi zote maana -akuna hata moja ina ushahidi. Ni chuki tu za mliyozoea vya kunyonga. Utasikia ooh sabaya kapiga mtu msumari, ooh kaua watu etc. Tuone basi ushahidi mnaleta wale wsuza gongo na wafanya magendo eti ndi mashahadi.
Take note unitafute siku sabaya atashinda mikwala yenu.
Mlaaniwe wote.
 
Zile CCTV zikimuonyesha kwa amaenei tofaiti akifanya ushenzi unataka kusema nii za kutengeneza?

Aisee itabidi upimwe akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…