DAVID PETER
Member
- Feb 23, 2013
- 43
- 12
Hongera kwanza, angalia joining instruction yako vtu vinavyohitajika ili usajiliwe kisha uviandae. Mengine ntakufahamisha kwa simu
mkopo atapata tu asubirie majina yatakayotoka tcu ndo yataonyesha mkopo. Mimi mwenyew nimesoma pale na mkopo nilipata na wengi wanapata so asiogope
Mi nimechaguliwa Makumira ila napenda kuuliza kama result slip ya form six ni ya lazima au laa.Pia ningependa tuwasiliane Zaidi kupitia Whatsapp,Namba yangu ni 0718268014.Thanks
ok apo mzuka sana