Tumaini Makumira wameshatoa selection 2014/2015

Tumaini Makumira wameshatoa selection 2014/2015

Wewe umesoma vyuo vingapi si ulisema umesoma Kamapala international university?

nimesoma kampala wapi ktk coment/post gani nimesema mkuu. mi nimepiga apo makumira
 
Mi nimechaguliwa Makumira ila napenda kuuliza kama result slip ya form six ni ya lazima au laa.Pia ningependa tuwasiliane Zaidi kupitia Whatsapp,Namba yangu ni 0718268014.Thanks

ya ni lazima . zaidi soma hiyo join yao ujue nyaraka muhimu zinazotakiwa
 
Back
Top Bottom