Tumaini university makurima help

Tumaini university makurima help

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Naombeno kujua katika tovuti yao sehemu gani nitapata hio list ya selected candidates ? Maana sioni sehemu
 
Naombeno kujua katika tovuti yao sehemu gani nitapata hio list ya selected candidates ? Maana sioni sehemu

Ingia google search waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Makumira 2013/2014 Itakuja homepage yao utaingia hapo direct utaonyeshwa sehemu ya kuclick kuona hayo majina.. Halafu afande Edit hiyo heading yako sio Makurima ni Makumira watakuja wafukuaji hapa utajificha tuu!!!
 
Back
Top Bottom