Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Leo haikuwa siku njema sana kwa treni ya umeme ya SGR ilipopata ajali maeneo ya Ruvu ikielekea Dodoma.. Mungu ni mwema hakukuwa na vifo bali uharibifu mkubwa wa miundombinu
Kwa muonekano wa ajali treni iling'oka matairi na kutoka nje ya reli.. Kama sio hujuma basi kuna uzembe mkubwa kwenye kitengo cha ukarabati/ service
Mojawapo ya sababu kubwa iliyochangia kuharibika kwa mabasi ya mwendokasi uzembe wa kitengo cha ukarabati/ service
Ukarabati wa dharura na ukarabati wa ratiba/ routine service! Ilifika mahali magari yakawa hayafanyiwi service mpaka yaharibike njiani.. Service on breakdown🥺🥺🥺!
Mwendo wa SGR ni tofauti kabisa na na wa mabasi ya mwendokasi.. SGR ni ya kasi kubwa na ya masafa marefu.. Kwa uzito wa behewa moja na mwendo wake ule! Checkup ya mifumo yote kila baada ya safari ni muhimu na ni lazima. Je hili lilikuwa linafanyika!?
Wakati mradi wa mabasi ya mwendokasi unaanza kila kitu kilikuwa kinafanyika kaka inavyotakiwa kuanzia
Daily checkup
Usafi wa mabus
Routine service
Emergency service
Lakini taratibu mambo yakaanza kubadilika mpaka kufikia service on breakdown!
Tuchukulie ya SGR ilikuwa ni ajali kaka ajali zingine na si uzembe wa service na checkup.. SGR sio UDART tuwe makini tusije tukawa tunajiandalia maafa ya kutisha
View: https://www.facebook.com/share/v/17b2DhkwiQ/