Bro acha ujinga. Tulimpenda sana ila ukweli ni kwamba Mungu amempemda zaidi. Maisha yasonge mbele.JPM alikufa na vitu vyake, mzimu wake unawatafuna waliomfyeka na kujivika utukufu usiowastahili.
We kunguni kumsahau shujaa kama huyu kizembe huo ni ufwala.Bro acha ujinga. Tulimpenda sana ila ukweli ni kwamba Mungu amempemda zaidi. Maisha yasonge mbele.
Vyovyote iwavyo ila maisha lazma yaendelee. Aliyembwa kwa udongo atarudi udongoni. Nachokwambia ndio ukweli whether uniite kunguni au kiroboto.We kunguni kumsahau shujaa kama huyu kizembe huo ni ufwala.
Kulipia madeni faida ya hii miradi itakuja wakati sisi tukiwa mbele za haki.Hivi pesa/mapato yaliyokuwa yanatokana na nauli za abiria yalikuwa yanapelekwa wapi?
https://www.facebook.com/Kulipia madeni faida ya hii miradi itakuja wakati sisi tukiwa mbele za haki.