Tumalize ubishi;Mkojo wa Ngedere Vs Riyama Ally nani bingwa wa kuchamba

Mkuu...
Nina mashaka na jinsia yako haki....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Riyama yuko real huyo mwingine ana papara sana lazima aishiwe pumzi na mate kama akichambana muda mrefu.

Btw mume mwenzio whozu kafumaniwa kweli au kiki
 
Riyama yuko real huyo mwingine ana papara sana lazima aishiwe pumzi na mate kama akichambana muda mrefu.

Btw mume mwenzio whozu kafumaniwa kweli au kiki
Siamini katika penzi lao na wala hawapendezi kuwa pamoja.

Whozu hana uwezo wa kummiliki Tunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…