Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
kama wewe umeanza hivi kuna mwingine atakuja kusema beki bora ni manula kwa sasa......wabongo mnakwama wapi?umeambiwa kabisa beki bora wa upande wa kulia wewe unamtaja VVD si bora ungemtaja ZANA COULIBARYBeki bora kwa sasa ni VIDIC
kama wewe umeanza hivi kuna mwingine atakuja kusema beki bora ni manula kwa sasa......wabongo mnakwama wapi?umeambiwa kabisa beki bora wa upande wa kulia wewe unamtaja VVD si bora ungemtaja ZANA COULIBARY
Hapo beki Bora ni Trippier na Walker
Watu wataniuliza kwa nini nimemdrop Trent jawabu ni kuwa wengi tunajua kuwa prime role ya beki yeyote ni kuweza kudefend sasa huyu Dogo Trent ni mzuri kwenye mashambulizi lakini defensive wise sio mzuri
Trippier anao uwezo mkubwa sana defensive wise na Offensive wise huyu ndio apewe kipaumbele