Tumalize utata: Beki Bora wa Kulia wa Kiingereza

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kati ya hawa vijana watatu wanaofanya vizuri katika klabu zao kwasasa yupi ni beki bora wa upande wa kulia kwasasa toka kwa wajukuu hao wa Malkia.

Kyle Walker (Man City), Alexander Anorld (Liverpool) na Kieran Trippier (Spurs)

Karibuni kwa mjadala
 
Beki bora kwa sasa ni VIDIC
kama wewe umeanza hivi kuna mwingine atakuja kusema beki bora ni manula kwa sasa......wabongo mnakwama wapi?umeambiwa kabisa beki bora wa upande wa kulia wewe unamtaja VVD si bora ungemtaja ZANA COULIBARY
 
O.k basi hiyo nafasi ni ya Evra
kama wewe umeanza hivi kuna mwingine atakuja kusema beki bora ni manula kwa sasa......wabongo mnakwama wapi?umeambiwa kabisa beki bora wa upande wa kulia wewe unamtaja VVD si bora ungemtaja ZANA COULIBARY
 
Hapo beki Bora ni Trippier na Walker

Watu wataniuliza kwa nini nimemdrop Trent jawabu ni kuwa wengi tunajua kuwa prime role ya beki yeyote ni kuweza kudefend sasa huyu Dogo Trent ni mzuri kwenye mashambulizi lakini defensive wise sio mzuri

Trippier anao uwezo mkubwa sana defensive wise na Offensive wise huyu ndio apewe kipaumbele
 
Ni wivu tuu

alexander arnold

' i heard barca players are still anfield waitind for Trent corner

Teh ....
 
Back
Top Bottom