Tumalize utata: Chama Vs Moloko

Ukitaka kujua uwezo wa Chama kawaulize Nkana AS Vita, Horoya na Vipers, pia kawailize mabeki wao na kipa wao kitu gani aliwafanyia, pia uje uulize makipa na mabeki wa ligi kuu ni jinsi gani mwamba huwa anawatambaliza kama walevi wa chibuku.
 
Sijui kuna uhusiano gani kati ya kutokuwa na akili na mashabiki wa Yanga? Sijui kwakweli
 
Usiingie kwwnye mtego wa mtoa mada, huyo anataka ubishani usiokuwa na maana. Unamshindanishaje Chama na Moloko? Yaani ni sawa na usema Nyerere na Mwigulu nani zaidi?
 
Aisee unafananishaje Chama na vitu vya ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…