Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

Ligi ngumu ni ipi? Kama ni EPL basi hata Eto'o amecheza Chelsea na Everton
Anazingua huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Etoo kacheza Italy,Spain,England, kwa mafanikio
Drogba France,England,Turkey na MLS

Hapo nani kacheza ligi ngumu?
 
Japokuwa nilimkubali sana Drogba, ukweli ni kwamba Eto’o yupo juu kidogo. Alitisha sana huko Inter Milan na Barcelona na uzuri zaidi akaja Chelsea na kuendelea kutupia goals kwenye mechi muhimu. Eto’o keperform vizuri kwenye ligi kuu tatu.
 
Siwez nikasema hujui mpira but lakin naweza nikasema umechelewa Sana kufatilia mpira huwez mlinganisha etoo na Drogba etoo was fire
 
Siyo kweli walikuwa na bahati tu,kila mechi wakishinda kagoli kamoja tuu.

Mkuu kulinda goli dhidi ya France ya kina Zidane na Thierry, Czech, Portugal ya kina Figo siyo zoezi dogo.

Unahitaji right game plan, proper execution ya hiyo game plan, and then bahati inafata baada ya wewe kutimiza majukumu yako.
 
Back
Top Bottom