Tumalize Utata: Nani kapotezwa kwenye Beef la Drake na Kendrick Lamar hadi sasa?

Tumalize Utata: Nani kapotezwa kwenye Beef la Drake na Kendrick Lamar hadi sasa?

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1714978297767.png
Kwa takriban mwezi mmoja sasa tasnia ya Muziki nchini Marekani imekuwa kwenye hatua za Back to Back kutoka kwa Mastaa wa Hip Hop, Drake na Kendrick Lamar ambao wamekuwa wakichapana Diss Track kila siku.

Sasa hebu tumalize hili jambo kwa idadi ya ngoma zilizotoka na kilichoimbwa, nani kapotezwa mpaka sasa?
 
We unaona nani kapotezwa ndugu? Hapa watakuja mashabiki wa Kendrick Lamar watasema Drake ndo kapotezwa, watakuja mashabiki wa Drake watakwambia Drake ndo kapotezwa.
 
Kendrick needs this beef than Drake. Labda kwa ajili ya haters au ni trend tu ndio maana They not like us imekuwa gumzo. Kabla ya summer haijaisha watu watakuwa washasahau. I'm not a fan, lakini nina ukakika Drake atatoa ngoma itasikilizwa Duniani.
 
Vipi, mtizamo wako bado ni ule ule?
 
Back
Top Bottom