mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 471
- 150
Lima vyooote lkn Tumbaku ni Utumwa, narudia Tumbaku ni utumwa, ukiruka a single stage hiyo siyo tumbaku. Tumbaku process yake ina madhara kiafya na kimazingira.Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000
View attachment 2942495
Umeshaamka mkuu au umeagana na classifier tayari?Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000
View attachment 2942495
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000
View attachment 2942495
Hakuna zao hapa Tanzania utalima ukapata pesa nyingi tofauti na tumbakuInawezekana tumbaku ikawa inauzwa Kwa bei nzuri sokoni maana mara zote huuzwa Kwa dollar ya Kimarekani.
Lakini ni ukweli kuwa bei nzuri huuzwa Kwa kuzingatia grade ya tumbaku yenyewe
Usisahau gharama kubwa wanazotozwa Wakulima wakati wa kupatiwa pembejeo ikiwa ni pamoja na mbolea na madawa ya kuulia wadudu.
Kilimo cha tumbaku ni gharama sana kukiendesha kuliko mazao mengine ya biashara na chakula
Una uzoefu na zao hili Mkuu?Hakuna zao hapa Tanzania utalima ukapata pesa nyingi tofauti na tumbaku
Uzoefu wakutosha tuUna uzoefu na zao hili Mkuu?
Uzoefu wakutosha tu
Tumbaku hailimwi kiholela hivi.Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000
View attachment 2942495
Hongera Mkuu, ukiweza Shea nasi uzoefu wako hapaUzoefu wakutosha tu