Tumbaku Ina Pesa

Tumbaku Ina Pesa

mnang'umba

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
471
Reaction score
150
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000

IMG_20240308_073607.jpg
 
View attachment 2942495
Lima vyooote lkn Tumbaku ni Utumwa, narudia Tumbaku ni utumwa, ukiruka a single stage hiyo siyo tumbaku. Tumbaku process yake ina madhara kiafya na kimazingira.
Hesabu ulizotupa siyo sahihi, hujakodi shamba, hujanunua dawa za Kupuliza karbia kila baad ya wiki 2.
Tumbaku ni Utumwa kwa sababu, Unatakiwa uende shambani kila siku kuihudumia. Narudia shambbani ni KILA SIKU hutokosa shambani ili upate Tumbaku yenye Grade nzuri
 
Inawezekana tumbaku ikawa inauzwa Kwa bei nzuri sokoni maana mara zote huuzwa Kwa dollar ya Kimarekani.

Lakini ni ukweli kuwa bei nzuri huuzwa Kwa kuzingatia grade ya tumbaku yenyewe

Usisahau gharama kubwa wanazotozwa Wakulima wakati wa kupatiwa pembejeo ikiwa ni pamoja na mbolea na madawa ya kuulia wadudu.

Kilimo cha tumbaku ni gharama sana kukiendesha kuliko mazao mengine ya biashara na chakula
 
Kwa io umetumia chini ya milion 2 na unategemea kuvuta 30+M sio, ambao tushaingia field ya kilimo tunaona kabisa kijana unatania, ulimaji wa tumbaku sio lelemama kama ulivyoandika mkuu

Kueni makini na mnayoyaleta huku, mtu anaweza Kuona bandiko lako juu juu tu akachukua kaakiba kake kote na ye akajaribu bahati kwa kutumia makadirio yako haya ambayo sio uhalisia wa kilimo Cha tumbaku anaenda kujiingiza kwenye umaskini bure
 
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000

View attachment 2942495
Umeshaamka mkuu au umeagana na classifier tayari?
 
Naimani utakuwa unatania.
Naishi Dar nilienda kutembea mkoani Tabora. Nikavutiwa na Kilimo Cha Tumbaku. Nimelima heka 6 ambapo natarajia kupata kilo 600 kwa Kila heka Moja.
Nitauza kg 1 $ 4.00, 3.5 nk
Matumizi
Heka 1 mbolea mifuko 5 @ shs 80,000
Kuni shs trip Moja shs 300,00
Kulima 50,000
Palizi 30,000

View attachment 2942495
 
Namimi ngoja nikalime tumbaku chunya 😅😅
 
Inawezekana tumbaku ikawa inauzwa Kwa bei nzuri sokoni maana mara zote huuzwa Kwa dollar ya Kimarekani.

Lakini ni ukweli kuwa bei nzuri huuzwa Kwa kuzingatia grade ya tumbaku yenyewe

Usisahau gharama kubwa wanazotozwa Wakulima wakati wa kupatiwa pembejeo ikiwa ni pamoja na mbolea na madawa ya kuulia wadudu.

Kilimo cha tumbaku ni gharama sana kukiendesha kuliko mazao mengine ya biashara na chakula
Hakuna zao hapa Tanzania utalima ukapata pesa nyingi tofauti na tumbaku
 
Zoezi la kwanza ni kuweka makisio ya kiasi cha hekari za tumbaku ktk cham cha msingi unachotarajia kulimia ili uwekwe kwenye orodha ya mgao WA pembejeo. Baada ya hapo ni kujenga nyumba za kuchomea tumbaku yaani mabani.
Mabani hujengwa kwa tofali mbichi au zakuchomwa.
Hatua inayofuata ni kuaanda mbegu zoezi linalochukua wastani wa miezi 2 hadi kuzipanda shambani. Kumbuka kilimo cha tumbaku kwa asilimia kubwa unapewa pembejeo ambazo ni mbolea,madawa na fedha ili kuendeshea kilimo hicho.

Uvunaji na hatua zingine hadi masoko pamoja na faida ya zao hili taeleza wakati mwingine
 
Attachments

  • IMG_20240724_150323.jpg
    IMG_20240724_150323.jpg
    4.3 MB · Views: 19
  • IMG_20240725_131448.jpg
    IMG_20240725_131448.jpg
    4.5 MB · Views: 17
  • IMG_20240724_145641.jpg
    IMG_20240724_145641.jpg
    4 MB · Views: 16
  • IMG_20240724_145742.jpg
    IMG_20240724_145742.jpg
    3.6 MB · Views: 17
  • IMG_20240829_183852.jpg
    IMG_20240829_183852.jpg
    5.8 MB · Views: 16
Back
Top Bottom