Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
wakuu heshima kwenu.
_kuna jamaa yangu naye ni mfugaji kama mimi alianza na kuku wachache sana sasa ananiambia anao 60 ndo nikawa namwambia anatumia dawa gani kuwatibia nikawa namwambia wa kwangu wanakufa sana!
_ndo akaniambia yeye hajawahi kwenda dukani kununua dawa anawapa katika maji tumbaku ile kama imesindikwa anakata kipande anachanganya kwenye maji hadi ikolee kiasi alafu mara tatu kwa week, anaiambia hata kama kuku alikuwa anasinzia ndani ya two hrs anakuwa ameshazinduka.
_akanipeleka anaponunulia kipande sh 300 nikanunua kimoja nataka nikawape nione.
_Ila kabla ya kuwapa nataka niwaulize kama kuna member ameshawahi kuitumia hiyo tiba ya kiasilia